Home
Unlabelled
nyumbani lounge kufunguliwa rasmi leo jioni, jumapili dozi ya babu wa loliondo kuanza kugawiwa hapo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Good job, hizi sehemu namna hii zinakosekana sana mjini hapa, lkn sijui utawezaje ku maintain decency, maana ukijaza watoto wakihuni wanaokunywa soda moja saa 6 mchana hadi saa 6 usiku sijui itakuwaje. ALL THE BEST GUYS!!!
ReplyDeletehongera sana wapendanao nyie juhudi zenu zinapaswa kuigwa
ReplyDeleteKweli Jide mjasiriamali, anataka mafuriko ya watu kwa kutangaza dawa ya babu..teh teh..kweli bongo lazima ubongoke la sivyo utaishi na umasikini milele. chemsha mwarobaini sema hii dawa ya babu watu watakunywa..500 kila kikombe au?
ReplyDeletelol - dozi ya Babu wa Loliondo siyo? Very funny. Tutakuja!
ReplyDeleteMichuzi,bufee ni kiasi gani kwa kichwa?
ReplyDeleteGreat job. Ila baadae badilisheni hivyo vitini havijatulia kihivyo.
ReplyDelete...Ankal Dawa ya babu inauzwaje hapo 'Nyumbani'?
ReplyDelete