Waziri wa Ardhi, Nyumba Makazi ya binadamu Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akiongea wakati wa mkia wa jogoo ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa kwa mabenki ili kuelezea mipango yake kabambe ya maendeleo katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Nehemia Mchechu akiongea na wakuu wa mabenki na wadau wengine kwenye hafla hiyo
Bw. Lawrence Mafuru, Mwenyekiti wa chama cha mabenki nchini ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya NBC akiongea kwa niaba ya wageni
Prof Tibaijuka akimtunuku Bw. Mchechu kitabu alichoandika kuhusu nyumba (BUILDING PROSPERITY: Housing and Economic Development - www.earthscan.co.uk) na ambacho kina maelezo, uchambuzi na data muhimu kuhusu makazi na nyumba duniani
Mkurugenzi wa NHC akipongezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mh. Albert Mrango baada ya kuelezea mikakati ya shirika hilo, huku Prof Tibaijuka naye akifurahia. Kwa picha zaidi za tukio hiliBOFYA HAPA







Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...