Waziri wa Ardhi, Nyumba Makazi ya binadamu Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akiongea wakati wa mkia wa jogoo ulioandaliwa na Shirika la Nyumba la Taifa kwa mabenki ili kuelezea mipango yake kabambe ya maendeleo katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Nehemia Mchechu akiongea na wakuu wa mabenki na wadau wengine kwenye hafla hiyo
Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi wa NHC akitoa shukrani kwa wageni
Bw. Lawrence Mafuru, Mwenyekiti wa chama cha mabenki nchini ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya NBC akiongea kwa niaba ya wageni
Mkurugenzi wa Masoko wa NHC Bw. David akiwa MC wa shughuli
Wageni waalikwa wakimsikiliza mkurugenzi wa NHC
Wageni walipata fursa ya kubadilishana mawazo na kadi
Prof Tibaijuka akimtunuku Bw. Mchechu kitabu alichoandika kuhusu nyumba (BUILDING PROSPERITY: Housing and Economic Development - www.earthscan.co.uk) na ambacho kina maelezo, uchambuzi na data muhimu kuhusu makazi na nyumba duniani
Prof Tibaijuka akimsainia Dr Ringo Tenga
nakala ya kitabu chake kabla ya kumkabidhi

Mkurugenzi wa NHC akipongezwa na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mh. Albert Mrango baada ya kuelezea mikakati ya shirika hilo, huku Prof Tibaijuka naye akifurahia. Kwa picha zaidi za tukio hili
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...