Hii ni shule ya msingi ya Kiromo, Bagamoyo, ambayo imekarabatiwa upya na Airtel katika mpango wa kampuni hiyo ya simu ya kuendeleza elimu
Shule ya msingi Kiromo
Waziri wa Elimu Dkt. Shukuru Kawambwa akiwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Kiromo Kim Kimenya (kulia) wakati alipotembelea kuangalia maendeo ya ukarabati wa shule hiyo leo
Madawati ya shule ya msingi Kiromo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...