MAREHEMU NEEMA KISOTA
WAKATI WA UHAI WAKE.

JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO NORWAY WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUG YAO MPENDWA NEEMA KISOTA.

MAANDALIZI YA KUSAFIRISHA MWILI KWENDA MBEYA TANZANIA YANAENDELEA.
GHALAMA ZA KUSAFIRISHA NA KUTUNZA MWILI WA MAREHEMU NA WASINDIKIZAJI ITAGHALIMU TAKRIBANI EURO 8000.

KWA WALE WENYE MICHANGO WA WASILIANE NA
REBECCA MADULEY KURUBAY +4748266769
AC No 60941245229
NORDEA BANK
SWIFT AU CONTROLL NR KEUU 530.
ANUANI YA BENK : NORDEA BANK NORG ASA ,
P. O. BOX 1166 SENTRUM N-0107-OSLO NORWAY.
MILKA KISOTA +31626055301

TUNAOMBA MCHANGO WENU WA KHALI NA MALI ILI KUWEZA KUSAFIRISHA MWILI WAMAREHEMU NDUGUYETU NYUMBANI TANZANIA.

KWA WALEWAWAISHIO TANZANIA WENYE MAPENZI MEMA WAWASILISHE MICHANGO YAO KWA VAILETH KISOTA MOB:

+255 712 903 800 AU +255 767 903 800

MNAWEZA TUMA KWA M-PESA KWA NUMBER HIZO PIA ZA VAILETH.
AU WAFIKE NYUMBANI KWA MAREHEMU BOKO NYUMA YA DECA INN.

BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA
JINA LA BWANA LIHIMIDIWE

TUTAENDELEA KUWATAARIFU KUHUSU
MIPANGO YA MAANDALIZI KWA UJUMLA.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ohhh Lord!!, What happened jamani, I remember Marehemu used to reside at Bahari Beach area mid 90's and she was cool with everybody down there. The last time i saw her was when i was vacationing year 2002 and i guess that was i kiss goodbye type of thang. Milka and the rest of your family please allow me to pass my sincere condolence and i have full compassion for loss.
    R.I.P Neema Mmasai see you when we get there
    Mdau wa Diaspora USA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...