Afande akiwapeleka kwa pilato watuhumiwa wa kupigana hadharani mjini Moshi. Picha na Robert Okanda wa Daily news

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. ustaarabu umeingia bongo, kama wp anakamata mibaba bila cha moto.

    ReplyDelete
  2. Wanakwenda Bure Jela na watatoka kwa pesa, poleni sana kwani ufisadi umezidi hapo kwenye hicho kituo hakuna haki, pesa kwa kwenda mbele. Kupigana mbele ya umma ni kwa sababu zuluma zimezidi, sasa kama walikuwa na shida ya kuzulumiana kipesa sasa watakoma kwani watkwenda kulipa zaidi, na kwa taaarifa zao hakuna haki.

    ReplyDelete
  3. Hivi askari wa Bongo hwna pingu hata kirungu?

    ReplyDelete
  4. duh wachaga bwana... bado wana enzi za kupigana hadharani...

    lkn askari jasiri sana mana hana pingu wala nini na jamaa wanatii amri....

    ReplyDelete
  5. tangu lini askari wa bararabarani wakawa na bunduki? hawa jamaa sio wezi unadhani mwizi akubali kwenda kituoni hivi hivi????? huyo askari inaonyesha anatumia ubabe fulani na inawezekana wana kosa la barabari na sio lingine

    ReplyDelete
  6. Moshi, mji pekee uliostarabika Tanzania. Hata wamachinga wenu wako soap soap

    ReplyDelete
  7. kupigana kunasaidia kuleta heshima

    ReplyDelete
  8. jamani hii picha imekatwa nini??
    mbona hapo nyuma kuna mtu aliyevaa shati/draft mwenya SMG? angalia vizuri!!
    Kat

    ReplyDelete
  9. Moshi pasafi aisee, angalia barabarani hapo! Big up jiji

    ReplyDelete
  10. pilato ndio nani ?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...