MAMBO VIPI WDAU WETU NA MSABABISHAJI WA MPANGO MZIMA?NAAMINI KILA KITU KIPO SAWA.TUMETOA TENA NYIMBO MPYA AMBAYO TUNAAMINI ITAFANYA VIZURI KATIKA ANGA LA MUZIKI HAPA NCHINI NA NJE YA NCHI.PIA VIDEO YA WIMBO HUU TAYARI IMESHA KAMILIKA NA MTAWEZA KUONA BAADHI YA VIPANDE VYA PICHA YA VIDEO HIYO AMBAYO IMEFANYWA NA SHOWBIZZ DEFINE.PIA UNAWEZA KUIONA VIDEO HIYO KATIKA FACEBOOK KWA KUANDIKA "TMK MAJITA ORIGINAL"TUNATEGEMEA SANA SUPPORT YENU.



Mazee tundikeni hili pini Youtube ndo mpango mzima. Facebook sio kwenyewe kivile ... kule ni kwa kuchat na kuchunguzana nani kalaa nini kavaa nini au kenda wapi kutoa ushamba.
ReplyDelete...Ankal, waambie hao Majita halahala na hizo Kombati za geshi. Wamuulize GK.
ReplyDelete