 Baadhi ya vijana wengi wanaoibukia kushika hatamu katika safu mbalimbali za uongozi. Toka shoto ni Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa, Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Nehemia Mchyechu na Meya wa Kinondoni Mh. Yussuf Mwenda, ambapo kumekuwa na madadiliko na mtazamo wa kisasa katika dhamana walizonazo na kubadili dhana ya kuwa wazee ndio wanafaa.
Baadhi ya vijana wengi wanaoibukia kushika hatamu katika safu mbalimbali za uongozi. Toka shoto ni Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa, Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Nehemia Mchyechu na Meya wa Kinondoni Mh. Yussuf Mwenda, ambapo kumekuwa na madadiliko na mtazamo wa kisasa katika dhamana walizonazo na kubadili dhana ya kuwa wazee ndio wanafaa. Baadhi ya vijana wengi wanaoibukia kushika hatamu katika safu mbalimbali za uongozi. Toka shoto ni Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa, Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Nehemia Mchyechu na Meya wa Kinondoni Mh. Yussuf Mwenda, ambapo kumekuwa na madadiliko na mtazamo wa kisasa katika dhamana walizonazo na kubadili dhana ya kuwa wazee ndio wanafaa.
Baadhi ya vijana wengi wanaoibukia kushika hatamu katika safu mbalimbali za uongozi. Toka shoto ni Meya wa Ilala Mstahiki Jerry Silaa, Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa Bw. Nehemia Mchyechu na Meya wa Kinondoni Mh. Yussuf Mwenda, ambapo kumekuwa na madadiliko na mtazamo wa kisasa katika dhamana walizonazo na kubadili dhana ya kuwa wazee ndio wanafaa.

how old are these chaps. Are they less than 34 years of age?
ReplyDeleteKaribuni vijana ktk nyanja hizi za uongozi,ushauri wangu tu ni kuwa msiingie ktk netwek ya rushwa,ufisadi nk.maana tumeyaona haya watu wanajiingiza ktk siasa ili wapate kula na siyo kwatumikia wananchi,tutawatupieni macho kuhakikisha kuwa mnakuwa viongozi waadilifu,na siyo wala rushwa na mafisadi,hii ni kwa faida na maendeleo ya nchi yetu.
ReplyDeletemdau,London,Uk.