Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare akifafanua jambo kwa mwandishi wa habari wa kituo cha Televisheni cha Capital Robert Ocheng, alipotembelea vyombo vya habari vya IPP kwa ajili ya kujenga mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja
Mtendaji Mkuu wa New habari Hussen Bashe akimuonyesha Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare wapili toka kushoto jinsi wanavyoaanda habari kwenye magazeti yao ,mara walipotembelea New habari kwa ajili yakuweka mahusiano mazuri ya kufanya kazi pamoja,kushoto Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba,kulia Mtaalamu wa mambo ya habari wa Vodacom Matina Nkurlu.
Mkurugenzi wa IPP media Joyce Mhavile akifafanua jambo kwa Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare , Mkurugenzi Mahusiano wa Vodacom Mwamvita Makamba mara walipotembelea IPP media group leo kwa ajili ya kujenga mahusiano ya kufanya kazi kwa pamoja.
Baadhi ya wageni wa Vodacom Tanzania na viongozi mbalimbali wa Africa Media group wakiangalia jinsi matangazo yanavyorushwa kwenye radio ya Magic FM.
Mtangazaji wa Magic Fm Salma Msangi akiwa kazini
Mkurugenzi wa mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba akiwa kwenye studio mpya na ya kisasa ya Channel Ten iliyo chini ya Africa media group.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...