Mwenyekiti Chama cha Wenye Malori na wasafirishaji bidhaa nje ya nchi na Mkurugenzi Mkuu wa Superdol,Bw. Seif A Seif akiwaeleza waandishi wa habari wa TBC kuhusu athari wanayo pata kutokana na mafuta yanayo chakachuliwa.
Mwenyekiti wa kamati ya Nishati na Madini,Mh. Januari Makamba akijadiliana na Mwenyekiti wa chama cha wenye malori na wasafirishaji mizigo ndani na nje ya nchi,Bw. Seif A Seif ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Superdoll walipo kutana katika kikao cha kujadili matatizo yanayo wakabili na hasara wanazopata kutokana na kuchakachuliwa kwa mafuta katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa jijini Dar.
Wadau sekta ya uingizaji na usafirishaji mafuta ndani na nje ya nchi wakijadiliana wakati wa mapumziko ya mkutano uliowakutanisha na Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini jijini Dar leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...