
Wafanyakazi wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam wakipeana mikono kabla ya mchezo wao wa mpira wa miguu kuanza kufanyika katika ufukwe wa hoteli ya Beach Comber wakati wa siku yao ya michezo,ambapo michezo mbali mbali ilichezwa na kufanya kila mfanyakazi aliehudhuria hapo kushiriki michezo hiyo akiwa na furaha kubwa sana.

Mchezo wa mpira wa miguu wa mchangani ukiendelea kuchezwa katika ufukwe wa hoteli ya Beach Comber mwishoni mwa wiki hii ikiwa ni siku ya michezo ya wafanyakazi wa benki ya FBME tawi la Dar es Salaam.
kwa picha zaidi
BOFYA HAPA.
kwa picha zaidi
BOFYA HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...