Mmoja wa waanzilishi wasimamizi wa mtandao wa Mobile Monday (MoMo) kwa hapa nchini,Kaye Billy akizungumza katika mkutano wa wataalamu wa ICT katika ukumbi wa mikutano wa Tasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar jana
Muanzilishi wa Mtandao wa PUSH MOBILE,Brian Waluchio akitoa ufafanuzi juu ya mtandao wake huo unavyofanya kati katika nyanja mbali mbali hapa nchini.
Muanzilishi wa Mtandao wa BONGO LIVE,Taha Jiwali akielezea namna mtandao wake unavyofanya kazi katika mkutano wa wataalam wa ICT uliofanika jana jioni katika ukumbi wa mikutano wa Tasisi ya Sayansi na Teknolojia,Kijitonyama jijini Dar.
Wadau wakifuatilia mkutano huo.

Kuona Picha Zaidi
BOFYA HAPA
na kutembelea mtandao wa MOBILE MONDAY
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...