“Accelerating East African Investment and

Accessing a Market of a Billion People” 17th - 19th April 2011

Mlimani City Conference Centre

Dar es Salaam, Tanzania =------------------------=

Kongamano la Uwekezaji la Afrika linatarajiwa kufanyika Dar es Salaam tarehe 18 na 19Aprili mwaka 2011, ambapo Marais wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Rais Wa Zanzibar na Marais wastaafu ni miongoni mwa watu mashuhuri watakaohudhuria.


ILI KUSHIRIKI

- Unatakiwa ujisajili kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC) kabla ya tarehe 10/04/2011. Kwa wale watokao ZANZIBAR, wajisajili ZIPA.


- Fedha za usajili kwa washiriki watokao Tanzania ni Dola za kimarekani 200. Kwa wale watoka kwengine Afrika Mashariki ni Dola za kimarekani 300; kwa wale watoka kwenginei ni Dola za kimarekani 595, na kwa wale watokao nje ya Afrika ni Dola za kimarekani 795.


WAHI SASA KUJISAJILI KWANI NAFASI ZA WASHIRIKI NI CHACHE NA WASHIRIKI WATATOKA NDANI NA NJE YA AFRIKA MASHARIKI. USHIRIKI HUU UTAKUPA FURSA YA KUKUTANA NA WATU MBALIMBALI KATIKA KUTANGAZA BIASHARA NA UWEKEZAJI.


AIDHA UTAPATA FURSA YA KUSHIRIKI KATIKA MJADALA NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA IMETOLEWA NA WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...