Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro(kulia) na mkurugenzi mkuu wa Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia ukimwi(UNAIDS) Michel Sidibe wakiwa katika picha ya pamoja ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro walipokutana Ikulu jijini Dar leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amkikaribisha ikulu jijini Dar es Salaam, Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro leo mchana.Baadaye viongozi hao wawili walifanya mazungumzo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro wakitembea kuingia Ikulu kwa mazungumzo leo.(Picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...