Balozi wetu Uingereza Mh. Peter Kallaghe akiwasili Westminster Abbey kuhudhuria harusi ya mwana mfalme William na Kate muda mchache uliopita. Nyuma yake ni Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza Bw. John Major.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. HAYA WABONGO MMEONA HARUSI HIYO ,SIYO KUKAA VIKAO MWAKA MZIMA MPAKA MNAGOMBANA NA NDUGU. Fanya kitu kulingana na uwezo wako,how many times do I have to say this.Harusi sio mashindano na kama mnapenda kuiga igeni harusi hii sasa....

    ReplyDelete
  2. Na harusi hii wameifanya very simple ukilinganisha na uwezo wao...Very elegant and intimate wedding no michango wala nini. Very nice dress but not unique. I like that ....yaani modern monarch wedding.

    Mi nitaiga farasi lakini tutachukua ng'ombe...That was the best party of the wedding for me apart from the kisses...Nilipenda sana ukiona zile farasi zilivyokua zinawafuata kwa nyuma utazani a movie vile . Ile miguu ya farasi na sijui walikua farasi wale wanacheka???

    ReplyDelete
  3. Yeah mimi nawashauri waige kitu kimoja pale. Kuvaa nguo za heshima. Gauni la bibi harusi lilikua zuri sana na lilikua la heshima. Wataiga yote lakini watasahau hilo.

    ReplyDelete
  4. Anonymous namba mbili kutoka juu i guess haujui unachoongea, ukiwa unaongea kitu jaribu kuwa na facts

    ReplyDelete
  5. Amen to anony of 5.02am. Igeni kuvaa nguo za heshima sio bibi harusi kukaa kifua, mikono wazi utadhani tayari yuko bedroom..kha, i hate that.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...