Balozi wetu Uingereza Mh. Peter Kallaghe akiwasili Westminster Abbey kuhudhuria harusi ya mwana mfalme William na Kate muda mchache uliopita. Nyuma yake ni Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza Bw. John Major.
Home
Unlabelled
balozi kallaghe akiwasili harusini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
HAYA WABONGO MMEONA HARUSI HIYO ,SIYO KUKAA VIKAO MWAKA MZIMA MPAKA MNAGOMBANA NA NDUGU. Fanya kitu kulingana na uwezo wako,how many times do I have to say this.Harusi sio mashindano na kama mnapenda kuiga igeni harusi hii sasa....
ReplyDeleteNa harusi hii wameifanya very simple ukilinganisha na uwezo wao...Very elegant and intimate wedding no michango wala nini. Very nice dress but not unique. I like that ....yaani modern monarch wedding.
ReplyDeleteMi nitaiga farasi lakini tutachukua ng'ombe...That was the best party of the wedding for me apart from the kisses...Nilipenda sana ukiona zile farasi zilivyokua zinawafuata kwa nyuma utazani a movie vile . Ile miguu ya farasi na sijui walikua farasi wale wanacheka???
Yeah mimi nawashauri waige kitu kimoja pale. Kuvaa nguo za heshima. Gauni la bibi harusi lilikua zuri sana na lilikua la heshima. Wataiga yote lakini watasahau hilo.
ReplyDeleteAnonymous namba mbili kutoka juu i guess haujui unachoongea, ukiwa unaongea kitu jaribu kuwa na facts
ReplyDeleteAmen to anony of 5.02am. Igeni kuvaa nguo za heshima sio bibi harusi kukaa kifua, mikono wazi utadhani tayari yuko bedroom..kha, i hate that.
ReplyDelete