Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa hafla iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili wa wateja wa Zanzibar katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort visiwani humo mwishoni mwa juma.
Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRDB Bi.Tully Esther
Mwambapa akikaribisha wageni kwenye hafla hiyo.

Meneja wa kitengo cha Wajasiliamari cha Benki ya CRDB Bw.Elibariki
Masuke akiongeo na wakazi wa Zanzibar katika hafla hiyo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Muungano) Mh. Samia Suluhu(Kulia) akiwa na wageeni waalikwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Bw.Charles Kimei katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo kwa ajili wa wateja wa Zanzibara katika Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, visiwani humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...