

BOFYA HAPA.
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
siss kama wateja wa vodacom tanzania tunawapongeza vodacom kwahatua yao ya kubadili nembo na tunaomba ingeambatna na uboreshaji wa huduma zake. kwa mfano huduma ya internet iko na kasi ambayo si nzuri sana tofauti na mtandao mmoja ambao haujajieneza kama vodacom lakin kasi yao ya internet ni nzuri sana na huduma zao si za kusuasua ukizingatia kwa sasa mawasiliano mengi yanahitaji internet. HAPPY NEW COLOUR VODACOM
ReplyDelete