DDC Mlimani Park Orchestra wana Sikinde Ngoma ya Ukae
wazee wazima wakifanya vitu vyao live mchana kweupeee.
Wakati huo in kabla Shaaban Dede hajarudi Msondo Ngoma aliko sasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mziki mzuri lakini hali ya wahusika inaonesha maisha halisi ya mtanzania (huko tandale, buguruni....)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...