Rais Jakaya Kikwete akikata utepe wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa upanuzi wa barabara ya New Bagamoyo road ya Kilometa 12.9 itakayojengwa na kampuni ya Konoike ambapo upanuzi huo utaanzia Mwenge hadi Tegeta na kugharimu kiasi cha sh. bilioni 88 kwa msaada wa serikali ya Japan. Kulia ni balozi wa Japan nchini, Mh. Hiroshi Nakagawa na kushoto ni Waziri wa Ujenzi. Mh. John Pombe Magufuli.
Wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi ya Konoike na askari jeshi wa
kikosi cha brass band wakiwa katika hafla hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...