Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ufunguo wa mfano kutoka kwa kaimu balozi wa China Bwana Fu Jijun wakati wa makabidhiano ya kituo cha utafiti na mafunzo ya wakulima yaliyofanyika huko Dakawa Morogoro jana.Kituo hicho kimejengwa kwa msaada wa Jamhuri ya Watu wa China
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua bustani ya mfano ya mafunzo iliyopo katika kituo cha utafiti na mafunzo ya wakulima huko Dakawa Morogoro muda mfupi baada ya kuzindua kituo hicho jana kilichojengwa kwa msaada wa serikali ya watu wa China.Wapili kushoto ni mtaalamu wa utafiti na mafunzo ya kilimo Profesa Chen Hualin kutoka kampuni ya Sino-Tanzania Agriculture Development.(Picha na Freddy Maro)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. ANKAL.

    TUNASHUKURU KWA KUTULETEA TAARIFA MUHIMU. HAPO TUMEONA FUNGUO LA MBAO NA ENEO LA SHAMBA/ BUSTANI; hicho kituo kiko wapi? Au ndio lile jengo la njano linaloonekana kwa mbali? Ungetupatia taswira ili wadau wajionee wenyewe kwa mbali kiwango cha msaada huo kutoka Jamhuri ya Watu wa China.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...