Tuna wakaribisha katika tamasha ya "LAST FRIDAY OF THE MONTH CONCERT" ambayo itafanyikwa Triniti (Oysterbay). Wakati huu wa jioni wapenzi watapata nafasi kuwaona wanamuziki bora wa "singer songwriter" Ashimba na Vitali Maembe. Mzungu Kichaa naye atapiga accoustic na kutuburudisha kwa mara ya kwanza na zeze ya kimbulu. Kufunga tamasha hili, Mzungu Kichaa atajiunga na bendi ya Bongo Beat kutuburudisha na nyimbo zake za zamani na badhi ya nyimbo ya albamu yake ijayo.
--
Kind Regards,
Caravan Records
MANAGEMENT
Tel: +255 763 822 022

onstage:

Forthcoming "LAST FRIDAY OF THE MONTH CONCERT" include:

27.05.2011 - DAR ES SALAAM UNPLUGGED (call for artists open)

01.07.2011 - Bongo meets Brooklyn

29.08.2011 - Theme to be announced

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...