Mdau Mkuu wa Libeneke Iringa Francis Godwin (kati) akisindikizwa katika safari yake ya kuelekea kusaka ubavu wake kitongojini Itende jijini Mbeya leo Dadaye Bw. harusi mtarajiwa B. Howike Godwin (kushoto) na mai waifu mtarajiwa wa Francis Godwin Bi Vumilia Mwangosi
Mshenga akikabidhi 'mzigo' kwa familia ya shemeji yetu mtarajiwa
Mzee Mwangosi akimkubali Francis kuwa mkwe wake
Juu na chini mashemeji wakimkubali Francis

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. HIVI BADO TUNAHITAJI HIZI TARATIBU/MILA /UTAMADUNI /WHATEVER?

    ReplyDelete
  2. Bi harusi mtarajiwa mweupeee kama mdhungu vile yaani kweli hii ni familia ya watu weupe huwezi amini jinsi mashemeji nao walivyo weupe kama dada yao. Siyo ule weupe wa mchina, Hongera mdau Godwin, kila la kheri katika safari yako ya kuelekea kuhalalisha ni mfano wa kuigwa

    ReplyDelete
  3. She is just beautiful...Lucky you....

    ReplyDelete
  4. mila lazma zdumishwe mtu asiye na mila sawa na hewa, mdau wa juu 1600

    ReplyDelete
  5. Mawifi na mama mkwe chunga hapo!

    ReplyDelete
  6. Hongera kwa mdau! Bila shaka atakuwa na TEMBOCARD MASTERCARD ndo maana kakubaliwa kirahisi!!! I like this tangazo!

    ReplyDelete
  7. hongera mdau franc, bila shaka utapata mda mwingi wa kutuletea matukio mengi zaidi kupitia Iringa na matukio.we wish to get alot kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...