Miss Progress International, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Progressive Foundation, Julieth William, akimkabidhi msaada wa Sh. Milioni 1.4 mtoto Maria Raulian, kwa niaba ya watoto wenzake wenye ulemavu wa ngozi kwa ajili kusaidia kununua mavazi ya shule (Uniform) za watoto 30 wanaosoma shule za msingi, hafla hiyo ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwakilishi wa Ofisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa ya Ilala, Rachel Katemi. (kushoto) ni Mwenyekiti wa Chama cha Albino Wilaya ya Ilala, Seif Ulate.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...