Afisa Mkuu wa Idara ya watoa huduma na Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano, Thadayo Ringo wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akiwasilisha mada katika semina kuhusu haki na wajibu wa watumiaji wa huduma za mawasiliano iliyofanyika Ikwiriri Wilayani Rufiji, mkoani Pwani.Semina hiyo ilihusisha makundi mbalimbali katika jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mimi naona mambo ya semina yameshapitwa na wakati. hayawafikii watu wengi. Tumieni vyombo vya habari kuelimisha umma. Hizo hela za kufanya semina mngezitumia katika kutoa matangazo. Semina tumeziona toka tunazaliwa lakini mavitu yotwe watu wanayofundishwa wala hakirudi walikotoka hawakumbuki walichoelezwa kwa vile wengine semina hizo hawaendi kujifunza kitu wangine wanaenda kama vacation tu...

    Tubadilike na wakati...Tusikalie kufanya vitu vile vile vilivyofanywa miaka ya 60...

    Send a text to all users instead....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...