Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)  Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Richard Sezibera (kati) pamoja na  Manaibu na Wakurugenzi wa Idara mbali mbali kwenye Sekeratarieti ya Jumuiya hiyo, kuhusu maeneo ya ushirikiano kati ya ICGLR na EAC na kuwafahamisha shughuli zake jijini Arusha wikiendi ilopita  
 Balozi Liberata Mulamula akitambulishwa timu ya Secretarieti 
ya Jumuiya ya Umoja wa Afrika Mashariki
 Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Ukanda wa Maziwa (ICGLR)  Makuu Balozi Liberata Mulamula akimpa zawadi ya picha ya kuchora toka Burundi Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Richard Sezibera
Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Ukanda wa Maziwa Makuu Balozi Liberata Mulamula akimpongeza  Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dk. Richard Sezibera ambaye amachukua nafasi ya Balozi Juma Mwapachu baada ya muda wake wa uongozi kumalizika kwa mujibu wa sheria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...