Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa Dar es salaam Mzee Athumani Mwinyimvua (kushoto) akiwa na Katibu wa Baraza hilo Bw. Mohamed Mtulia wakati wa kusoma tamko la baraza hilo jijini Dar es Salaam  kuhusu  kuunga mkono tamko la Rais Kikwete la kuanza kwa mchakato wa kuandikwa kwa katiba mpya. 


Habari zinasema Mzee Mwinyimvua amefariki dunia leo asubuhi nyumbani kwake Mwembe Chai, Dar es salaam. Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo saa 10 jioni katika makaburi ya Karume, nyuma ya sheli ya Super Star Mwembe Chai na karibu na shule ya Msingi ya Karume. Msiba uko mtaa wa Matombo, hapo hapo nMwembe Chai jijini Dar es salaam.


Globu ya Jamii inatoa rambirambi na pole kwa wafiwa.
 Mola aiweke roho ya marehemu pahala pema peponi 
- AMINA
Katib

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2011

    INNA LILLAH WA INNA LILLAHI RAJIUN,AMA KWA HAKIKA MPAJI NI MUNGU NAYE NDIE MPANGAJI WA YOTE.MZEE MWINYIMVUA ALIKUA MUUNGWANA SANA NA MSHAURI PIA MSAARABU.NIMEBAHATIKA KUFANYA NAE KAZI MIAKA YA NYUMA MULTINET AFRICA TOGETHER WITH LATE MWINYIMBEGU.MAY GOD REST HIS SOUL IN PEACE.AMIN
    MAYOR MLIMA WASHINGTON DC

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...