Mkuu wa Kituo cha kurushia matangazo cha TBC Mkoani Singida, Bw. Peter Chando akimuelezea Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bw. Sethi Kamuhanda jinsi mitambo ya kurushia matangazo katika kituo hicho inavyofanyakazi. Katibu Mkuu ametembelea Kituo hicho jana kwa ajili ya kukagua maendeleo ya kituo. (Picha na Concilia Niyibitanga-Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo)
Home
Unlabelled
kamuhanda atembelea kituo cha kurushia matangazo ya tbc singida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...