Hiki ni keep left kipya kilichozuka takriban wiki tatu zilizopita katikati ya jiji la Dar, hususan katika makutano ya mtaa wa Jamhuri na Azikiwe Avenu mbele ya Benjamin Mkapa Towers na kuwa kero ya aina yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2011

    Kwakweli Michuzi hii ni kero kubwa sana,imagine ni mwezi sasa halijashughulikiwa.jana nimeshuhudia magari yamesuguana ubavuni sababu sehemu ni ndogo kupishana.Wahusika wako wapi jamani washughulikie hili????panaweza leta maafa makubwa mfano mtu usiku aje na speed zake unkwowingly kama kuna shimo what will happen?maana hata sign yoyote hamna.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2011

    Bongo hii mpaka watu tuchapane bakora, yaani hapo hata kifusi kingesaidia maana juzi niliona Prado imekwama humu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...