Maakuli ya Kitanzania katika kituo cha Utamaduni cha Makumbusho ndani ya Kijjini cha Makumbusho, Kijitonyama, Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya vivutio kwenye kituo hicho kilichokarabatiwa upya na kujengwa ukumbi wa kisasa. Chini ni Mkurugenzi Mkuu wa kituo hicho Bw. Emmanuel Ngallo akiongea na wanahabari kituoni hapo
Home
Unlabelled
Mkurugenzi mkuu wa wa kituo cha utamaduni makumbusho jijini dar es salaam aongea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...