Rais Yoweri Kaguta Museveni akila kiapo cha urais katika sherehe zilizofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda jana huku mkewe Mama Janeth Museveni akishuhudia
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais mstaafu wa Kenya Mzee Daniel arap Moi wakati wa Sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda zilizofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda Jana.Rais Kikwete alirejea mjini Dodoma jioni hiyo hiyo kuendelea kuongoza semina elekezi
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais wa Nigeria Mh. Goodluck Jonathan wakati wa Sherehe za kuapishwa Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda zilizofanyika katika viwanja vya Kololo jijini Kampala Uganda Jana.Rais Kikwete alirejea mjini Dodoma jana jioni kuendelea kuongoza semina elekezi. Picha na Mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...