Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza wakati alipofungua mkutano kati ya serikali na wawakilishi wa nchi wahisani ambazo zimekubali kuisaidia Tanzania kwenye bajeti yake ijayo leo katika ukumbi wa St. Gaspar mjini Dodoma.
Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiteta na Balozi wa Norway nchini, Mh. Ingunn Klepsvik katika mkutano huo kati ya serikali na wawakilishi wa nchi wahisani waliokubali kuchangia bajeti


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...