Mdau Wilbert Mahenge baada ya kula nondozzz yake ya Masters in Pan African Studies Chuo Kikuu cha Syracuse University, Syracuse, New York akipozi na Prof. Micere Githae Mugo (Mwandishi wa “The Trial of Dedan Kimath” akishirikiana na Ngugi wa Thiong’o)

Mdau Wilbert MAhenge akiwa na advisor wake Prof. Horace G. Campbell (Mwandishi wa "Rasta and Resistance," "Reclaiming Zimbabwe" na “Barack Obama and 21st Century Politics. A Revolutionary Moment in the USA”.

Mdau Weilbert Mahenge akifurahia nondozzz yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2011

    Mdau Hongera kwa kula nondoz. Nimefurahi sana kumuona Horace Campbell, alikuwa rafiki mkubwa sana wa familia yetu ila sikumsikia siku nyingi sana. Tafadhali mpe salamu zangu nyingi sana mwambie Cabral wa Koroshoni Rd, Mlimani.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mdau Mahenge kwa kula Nondozi

    Nitakucheki kwenye simu

    MAKULILO

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 17, 2011

    Hongera Wilbert. Hongera wazazi na nduguzo kwa kuweka Msingi imara wa Elimu kwako. Yanga Oyeee!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2011

    dogo hongera ka nondoz ila angalia usije ukaitumia kupigia roba mitaa ile ya ubungo maziwa, changanyikeni, na hata mbalizi, hahahaaaaaaaaaaaa..

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2011

    mkuu hongera sana kamua kwa mbele gymm boy hapa hope unajua wapi pa kukutana soon

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2011

    Hivi hiyo digrii ya PAN AFRICAN STUDIES ajira yake inapatikana wapi vile? Nimesahau naomba mwenye kumbukumbu anikumbushe.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 17, 2011

    Anonymous wa 04.09:00 inaoneka umekua 'brain eaten' sio tu 'brain washed' soma kuelimika, ukielimika utapata maarifa ya namna ya kutumia elimu yako. Try to be a job creator not a job seeker after your education. This is the tragedy of our education system in Tanzania. People suffer from normativity, no creativity. Think of what you will do with your education and not what your education will do for you.
    You gotta get a life pal.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 17, 2011

    Naimani huamini kama umemalizana na assignmants. Hongera sana kaka Bill kwa Nondoz.

    Fatma.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 17, 2011

    Hongera kaka, sikujuwa kuna Mtanzania mwanafunzi hapo, huwa navolunteer some project hapo chuoni, kusaidia wanafunzi. Hongera sana. Mtanzani mwenzio hapo Syracuse.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 17, 2011

    Mdau hongera sana, shule muhimu..

    Hata mimi nina swali kama mdau hapo juu, degree ya Pan Africa Studies ina deal na vitu gani.. Social, Economic or Political. Au mdau kama huyu aliyemaliza tutapata msaada wake kwenye field zipi??

    Please please no offense, just asking..

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 18, 2011

    Watu akili kama hewa yaani hakuna, Mwenzio kuuliza anataka kujua haitaji kashfa maana unaweza kujiajiri na ukaajiriwa pia, hayo ulio andika nakuona we ndo mjinga na hujaulizwa tumeulizwa. Kama hujui nyamaza. Big up brother, but usifurahie makaratasi furahia hela

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...