Ankal Michuzi, Asalaam Aleiykhum.
Mie bwana ni msomaji mkubwa wa Blog ya Jamii. Yaani huwa sikosi kuchungulia humu (japo bosi hapa kazini petu katupiga mkwala tusifunguage blog hii wakati wa kazi ama sivyo hatua kali itachukulia dhidi ya mkosaji), yaani umeturoga sijui.... We acha tu!
Mie Ankal ni mwanamke wa umri wa miaka 35, nimeolewa (mke wa tatu) kwa huyu bwana ambaye Alhamdulillahi, hela ya kubadili mboga sio tu ipo bali haijawahi kukosekana hata siku moja katika miaka yangu mitatu ya ndoa ya mitala niliyonayo. Tatizo ni ile ambayo wewe unapenda kuiita 'chakula ya usiku'.
Yaani kwa vile twala kwa zamu na wenzangu (mara mbili ama moja kwa wiki) mie sina neno, tatizo ni kwamba sitosheki inavyotakiwa kwani mie napendelea nile 'chakula ya usiku' mara kama nne hivi kwa wiki, ndio ntaridhika. Ila kwa sasa sina ujanja, nami kulangua si jadi yangu kwani nimefundwa nikafundika. Tena kwetu Morogoro huwa tunachezwa miezi mitatu mizima, tukitoka tumekwiva hasa!
Sasa je, nifanyeje ili niongezewe siku za huo mlo??
Naomba wadau wako wa Blog ya Jamii wanisaidie kwenye hili tuta...
Ndimi mwenye njaa ya 'Chakula ya Usiku'
MDAU WA MORO NILIEHAMIA KIGOMA


Ahahahaaaa... Nimecheka hadi nimepaliwa. Hii kitu hata mie nnacho, inagwa sina mitala ila shemegi yenu mtu wa tungi ile mbaya, kila siku anarudi yuko bwii kiasi hata huo mlo siupati kisawa sawa, kwani akipiga kijiko kimoja tu, kashiba. Nimejaribu kulangua kama mara mbili hivi, lakini kila mara nusura niumbuke, maana shemegvi yenu alwatani ile mbaya, kila kona anajulikana. hivyo huwa ngumu kula kona bila kuonekana. Pole mwaya. kama huwezi kulangua utaula wa chuya tu, huna ujanja. Pole we...
ReplyDeleteNdio ukubali matokeo tena wangu kwani mke wa tatu si mchezo lazima jamaa anachoka kwa vile hana siku ya kupumzika ...pole sana huna budi uvumilie
ReplyDeleteShost wee langua tu vinginevyo utajashikwa na msongo wa mawazo buree! wee huoni hata wake a mswati baadhi yao wanalangua kwa kwenda mbele langua mama maisha mafupiii, kula kitu roho inapenda! kama unaona jamaa anajulikana kivile langua na rafiki yake wa karibu si unajua tena ukitaka kumkwepa polisi kaa chini ya kofia yake!
ReplyDeleteTafuta serengeti boy awe anakukuna sawa sawa kisha akija ustadhi unasuuza tu wkt wewe umeshiba kwa serengeti boy.
ReplyDeleteMdau Fidel.
Mpe kikombe cha babu atakuwa kama faru. Harafu utakimbia wewe.
ReplyDeletekwani wakati unaolewa hukuja kama mko watatu? kama ulijua na kukubali basi nakusihi utulie, neno kulangua sio zuri hata kulitamka katika dunia ya leo iliyojaa maladhi. Vumilia iwe ndo sadaka yako kwa mungu unakosa unachokihitaji. Au unapata kiasi kidogo kuliko mahitaji yako vumilia.
ReplyDeletesasa Udhaifu wa Mume wako Unauanika hadharani ndivyo ulivyofundishwa na dini yako au kungwi wako? kwamba mumeo asipokuridhishwa muanike kwenye mtandao si ndio? huna kungwi wewe? huna kiongozi wa dini wewe? eti mimi nataka chakula cha usiku mara nne kwa wiki! hovyooo!
ReplyDeletewewe ulipoenda kujioza mke wa tatu hukujua kama utakuwa unakula kwa zamu? hayo mahesabu ya kutaka kula mara 4 kwa wiki ungeyapiga kabla hujaolewa, sasa umeshachelewa. wewe uliangalia mpunga tu kuwa upo, ukajitosa ndoani. hapo huna ka kufanya maana zamu lazima zifwatwe.
ReplyDeleteSamahani, lakini dada huu si wakati wa mwanamke aliye endelea kuolewa na mwanaume mwenye wake wawili nayeye kuwa wa tatu. Hii kitu ilisha pitwa na wakati, we are in the modern days. Ilitakiwa uwe na wako pekee ili kukidhi haja yako barabara. Lakini mimi sielewi ni kwa nini mtu akubali kuolewa kwenye mitala yaani hainiingii akilini. Ni kitu kigumu sana hata kama sina kazi nzuri. Anyway, ndugu yetu kisha kubali kuingia kwa sababu anazo zijua yeye, akubali matokeo. Kwa ni kila mtaka mengi hupata mengi.Majuto mjukuu, kalagha bhaho, pole dear wangu.
ReplyDeleteinabidi uvumilie na uelewe hali halisi, kwani kama wewe atakupa chakula hiyo mara tatu au nne kwa wiki, je wenzako sasa itakuwaje? na uelewe anachoka na yeye. uliamua kuolewa kwenye mitala inabidi uvumilie na kukubali hali halisi.
ReplyDeleteAsalam alaykum mdada...,Mie n mwanaume mwenye wake wawili na Alhamudillah nawatimizia wake zangu wote mahitaji yao vilivyo kuanzio icho chakula cha usiku adi, mapambo, mavazi nk.
ReplyDeleteSasa kuhusu suala lako, kwanza halipo wazi kivile, ila nitakupa maelezo kuhusu mie ninavyo wa-handle wake zangu na inshaallah unaweza pata mwanga.
N kweli watu wanatofautina, mke wangu mkuu hapendi sana iyo chakula cha usiku ,once a week yeye amelizika ila kiwe cha ukweli, lakin huyu mdogo yeye huwa once hatosheki ata kama kitakuwa cha ukweli vipi anapenda apate japo mara tatu kwa week,
Sasa kwa uadilifu kutokana na Imani yetu ya dini huwezi lala huku mara 2 na kule mara 3, itakuwa n makosa, Sasa nini ninachofanya atleast kumlidhisha uyu ili asiende nje ni huwa napita jioni au mchana kila siku kumpa chakula kama siku iyo si ya kulala kwake,
Hii ndo njia ninayotumia mpaka sasa na mke wa kwanza hana tatizo maana zam ya kulala nimegawa sawa kwa wote ila tu huyu mdogo asiyeshiba huwa nampelekea chakula mara kwa mara kadri anavyohitaji.
Ushauri : kwanza angalia nature ya kaz ya mumewenu, pili ongea nae na mpe njia hii ambayo ninaitumia mie inshaallah inaweza saidia, ila chochonde asi-zidi zam za kulala kwa yoyote maana huo utakuwa sio uhadilifu, pili mwombe Allah katika hili maana yeye ndo wa kuombwa kwa kila kitu.
Mwisho, kabisa ukiwa na matatizo kama haya usije tu moja kwa moja katika ma-blog au sites kuomba msaada, jaribu kutafuta mashekhe apo karibu unapoishi maana hili suala linahusu iman na humu wana-blog wapo tofaut,..otherwise kuna website ya iman yetu ambayo ni kimbilio sahihi katika maswala yetu aya , ie : www.alhidaaya.com.
Nakutakia kila la kheri na uwe na subira uku ukimwomba Allah sana katika hili.
urs :thedidaone
email: thedidaone@yahoo.com
Tuntuuu tuntuu tuluntuu ouoo ouooo ouoooo, yaaaaa, yap yap yap ebwana eeee. Kulangua no! Coz hutaacha. si unajua ulanguzi unanyolipa. Kama vipi we sepa tuu. Ila huo mkwanja hutaupata. ebwanaeeee yap yap
ReplyDeletemwambie shida yako,na hivyo ndo mke mdogo,atakusikiliza tu.atakuwa anakupa dose kubwa ikifika zamu yako.mwambie una njaa ya kufa,atakupa yoote,hadi uvimbiwe kiasi akiwa kwingine wee unakuwa unaugulia tu.
ReplyDeleteVunja ukimya,kaa nae umueleze.
Pole mdogo wangu, ulikwenda kama mke wa tatu macho au ulidanganywa?
ReplyDeleteKulangua sio dawa kwani uta umbuka namna nyingi, acha tuu, vumilia na jaribu kuongea na babu kama yeye ameamua mafiga matatu ndio chungu kikae vizuri basi lazima amejitayarisha jinsi ya kukaa mkao wa kula kila anapokwenda.
Nisikilize kwa makini kama ulivyokuwa ukisiliza ukifundwa. Siku ya zamu yako andaa chakula mapema na kitanda kitandike vizuri, mashuka ya rangi moja sio maua maua yana kata hamu ya mapenzi. Mashuka yawe rangi nyeupe au pinki au light blue sio mkolezo wa rangi kama dark blue au mazagazaga mengine. kitandani kiwe na mito zaidi ya minne.Ikibidi kata kitambaa dukani ushone foronya zinazofanana na mashuka. Usitandike mashuka ya mitumba au foronya zake. Hayo ya mitumba kama unayapenda tandika ukiwa peke yako. Chumba kisafishe vizuri, pasi na panga nguo zake atakazovaa kesho yake na siku inayofuata aone tofauti. Dressing table yako iwe smart na ipambe na maua fresh au ya plastic yanayovutia. Pulizia chumba marashi na kitanda kipulizie perfume nzuri.Andaa chakula mapema na hicho unacholalamikia pia kiandae vizuri, ogea sabuni anayoipenda na vaa nguo za kuvutia sio za kazini la hasha kuna nguo za jioni sio za kulalia,nguo zako za kulalia ni khanga zenye maneno mazuri na umeshaziweka karibu na kitand au kitandani. Naye umemwandalia pensi zuri na taulo kubwa zuri na safi umeshaviandaa. Jamaa akifika mwandae aoge na avae pensi yake na fulana nzuri laini sio ya mtumba , si anajiweza? Baada ya chakula cha jioni anachokipenda mpatie glasi ya maziwa fresh yaliyowekwa yai mojakama lilivyo usitoe yale majimaji, asali vijiko viwili na samli kijiko kimoja yawe na uvugugu wa mbali ili yai lisigande. kwa bure hiyo inatosha kwani MIE NIKO KAZINI. KAMA UTANILIPA NITAKUEMISHA ZAIDI YA YA BAADA YA HAPO HAKUNA SHULE YA BURE.
ReplyDeletemama ngoja nikufundishe
ReplyDelete1.cheza juu ya kiwango kuwazidi wenzako -utaongezewa siku
2.fanya vitu adimu ambavyo wenzako hawafanyi
3.uwe mpole zaidi usiwe kero atahamia kwako
Vumilia tu ndugu yangu maana shemeji anachoka ndio maana! kila siku lazima ale chakula ya usiku kwa wenzio!wake 3 si mchezo atii! vumilia mpenzi maana ukianza kuchakachua ndoa ndani ya miaka 3 itakuwaje?
ReplyDeleteHahaaaaaaa,dada umenichekesha.Sasa ulichopendea kwa huyo mume ilikuwa nini?
ReplyDeleteJibu unalo, kubali umalaya. Toa ngoma nje isuguliwe na wengine.
ReplyDeletehaaahhaaaaa,pole. ulimpendea nini huyo mume?
ReplyDeletechakula akitoshi we omba talaka there is always a bigger fish
ReplyDeletePole sana Dada yangu!
ReplyDeleteIla mimi nakuomba uvumilie tu maana kabla hujaolewa ulijuwa wewe utakua mke wa tatu. Ata hivyo mume wako ni kidume kweli kweli,wake wa tatu si mchezo, kama ni dunia ataijaza sana na hapo bado mke wa nne na kwakua anavijisenti na wa tano na wa sita watapatikana.
Vumilia!
hahahahahaha, noma!
ReplyDeleteWewee Nawee ilikuwaje ukaolewee mke wa tatu na magonjwa haya.Basi anza kujipinga Pu***to ili utosheke mana kulangua huwezi.
ReplyDeleteWe usikubali, hiyo siku unayopata hiyo kula, basi hilo goma ulilopewa kwa miezi mitatu ndio ulifanyie kazi. Hakuna kulala mpaka kokoriko, akilala unamwamsha, bora usinzie ofisini. Au umerudia mtihani wewe, maana katika siku saba kuna mwenzenu anapata siku zaidi ya mbili, huyo lazima umuibie wewe. Hakuna haja ya kuingia dhambini, kulangua utaishia kwa babu.
ReplyDeletemmmh pole shostiiiii hapo fanya ulanguzi tu kwenda mbele hakuna jinsi!!!mie mwenzako ndoa ya mke mmoja na mme wangu hana hata hawala ila nimefundisha weee na kuvumilia kama mwaka na nusu lakini ata sifikishwiiii wala nini?? nikaona naanza kuchanganyikiwa live aaah nimefanya ulanguzi na kondomu. saivi aaaaaaah roho nyeupeeeee akili iko sawa. Hakuna cha kuvumilia wala nini nawe kula kwa step
ReplyDeleteMdau aliyeleta matatizo jamvini, na shemegi yangu wa 08.57:00
ReplyDeleteNawashukuru sana na nawapa hongera kwa utumiaji wa lugha
Mie nawasaidia jamaa wanaojifunza kiswahili na nawaambia wasome blog wanoe lugha,kama vile kupiga panga tupa. Asubuhi hii wameniletea barua pepe wasema hawakuelewa kabisa jamaa wanasema nini. Kiswahili safi na cha kusisimua."shemeji yenu alwatan ile mbaya" mzungu kanipa tafsiri ya...brother in law yours is town that bad..
Wakatabahu
pole sana dada hebu wewe fikiria mpishi mmoja walaji hao sijui itakuwaje inawezekana na wenzako hawatosheki afdhali wewe umetoa lilokuwa moyoni,ila ndoa ya watatu ni ya kiislamu kwa hiyo fuata dini na mafundisho yake na pia mwombe mungu utosheke na hicho ulichojaliwa kwani ukijaribu kulangua usije ukajikuta unajiumiza wewe na wenzako wote kwani hata huko nje hakuna usalama.
ReplyDeletePole sana dada ktk dunia ya sasa bado umekubali kuwa kwenye ndoa hiyo inawezekana si upendo uliokufanya uolewe na huyo mume ambaye tayari anao hao wake wenzako,!! Ili uweze kutunza ulaji wako na mkao wako pamoja na mahitaji yako ya kila siku, dada yangu nakushuri sahau hayo mambo ya sex jitahidi uwe unakwenda GYM kufanya mazoezi na kuuchosha huo mwili, ni fitness ndo itakufanya uweze kujielewa vizuri. Si hajabu kwa jinsi ulivyo jielezea na uchu wako wa tendo la ndoa bado haujitambui? Amka dada usilale bado una wigo mkubwa sana ktk dunia ya leo.
ReplyDeletehahahahahaa jaman you people you make my day..me mwenzenu ndio usiseme mie ni mke wa pili na huku ugaibuni tuko miji tofauti basi nabahatika kwa mwezi mara moja lakin akiwepo hizo siku mbili tatu afadhali kidogo...kumbe tupo wengi wenye shida hii na mimi pia kulangua siwezi jaman kabisaaa.
ReplyDeleteusije ukajiuza
ReplyDeleteunajua tofauti kubwa ya hichi kizazi cha sasa na zamani ni kwamba, zamani watu walikuwa hawachukulii tendo la ndoa kama starehe, kazi yake kubwa ilikuwa inachukuliwa kama kiungo cha uzazi. ndio mana wazee wa zamani waliweza kuoa wake mpaka 10 au zaidi. ila hichi kizazi chetu cha sasa starehe yetu kubwa ni kufanya hilo tendo as much as possible. ndio mana swala la mitaala kwa sasa hivi ni lazima liwe na matatizo makubwa. kwani reality huwezi ridhisha wanawake 3 kwa kufanya hilo tendo la ndoa, lazima tu kutakuwa kunakutoridhika kwa namna 1 au nyingine. na hilo litapelekea kwenda nje ya ndoa na matokeo yake kuambukizana magonjwa. mimi binafsi ni kijana shupavu kabisa miaka 28, nina mwanamke 1 tu, ila kazi pevu ninayo. mana anataka kila siku mpaka sometime inabidi tu nimchunie mana nachoka. hiyo ndio hali halisi.
ReplyDeleteHivi wewe mama uliolewa kwa ajili ya dini au kufata fedha alizonazo? Mtume s.a.w amefundisha unapoolewa au kuoa fanya hivyo kwa ajili ya dini nyie ndio mnapaka matope dini ya kiislamu hivi hayo matatizo yako umeshindwa kuyafikisha kwa mumeo na kama ameshindwa kuyatatua si mkubaliane akuache kwani huko kugawana siku si ndio utaratibu wa dini sasa unataka mbinu ya kupata siku nyingi zaidi kutoka wapi hiyo umefundishwa katika dini gani? mie naona wewe unaasili yakutokuwa mwanamke anayejiheshimu hivi kweli mambo yako ya ndani unaomba ushauri kwa watu wowote tu dini inatuelekeza hivi
ReplyDeletematatizo ya ndoa yapelekwe kwa wazazi wako, yakishindikana yapelekwe kwa wakwe yakishindikana yapelekwe kwa wasomi wa dini ya kiislamu lazima utapata ufumbuzi, hicho unachofanya ni kujitafutia adhabu za Mungu tu na kupata laana zake Maana anasema Mtume S.A.W Amelaaniwa mwanamke yoyote au mwanaume yoyote anayetoa siri za ndani za ndoa, kama wewe ni muislamu wa kweli naomba ufate huo utaratibu
Allah anisamehe pale nilipoenda kinyume lengo langu kukufahamisha wewe na wengineo.
KWAKWELI KUNAWATU MNAPENDA KURISK MAISHA YENU ,SASA DUNIA IMEJAA MARADHA 200 KIDOGO LEO HII MWANAUME ANAWALALA WANAWAKE 2 NA WEWE 3 BILA CONDOMU NAWALA HUOGOPI, JE UNAUWAKIKA WAKE WENZA HAWANA WANAUME WA NJ?,STILL INACHEFUA UCHAFU WA WENGINE BADO ANAULETA KWAKO JAMANI KUNAWANAWAKE MNAMOYO MAPENZI STAREHE NA WALA SIO KERO TOKA KWENYE HIYO NDOA TAFUTA MME ATAKAE WEZA TOSHELEZA HISIA ZAKO,KAMA NI PESA NDIO ZINAKUFA UISHINAE UTAFIA PABAYA
ReplyDeleteMmmmmhhh!!!! sina cha kusema.
ReplyDeletehakuna mwafaka mwingine zaidi ya kulangua shost, wenzio ndyo tunavyofanya, wewe endelea kulalamika njaa wakati misosi imejaa mtaani na hakuna walaji, kwa heri!
ReplyDeleteKula unenepe sana hiyo njaa iakuishia. Ila unawezapata kisukari au presha. Nasema hivyo kwasababu ukienda gym zilesiku utakazo pumzika dada yangu hamu lake hilo unaweza hata kumkamata baba mkwe wako.
ReplyDeleteNafikiri sheikh aliyekushauri umshawishi mumeo awe anapita kila jioni anakupa shakula ya usiku anafaa zaidi. Ukiona hailipi ndugu yangu penda kuji-keep busy soma sana, fanya kazi za ndani kwa nguvu sonesha watoto (kama unao vitabu vya dini) ukichoka utalala. Usikae kusikiliza taarabu au kuangalia hizi sinema za siku hizi zitakuamsha hashki. Alhaj Umar
ReplyDeleteMbona wazungu na wahindi hawana hiyo minyege ilyopitiliza kama dada zetu wakiafrika? Hawa wadada wa haya mataifa wanaweza kukaa bila mwanmume kwa miaka kibao na wala hawoni tatizo. Utamkuta yuko bize tu na mikazi yake. Nafikiri ni kukosa kujitambua kwa waafrika kama mtoa maoni mmoja alivyobaini hapo juu.
ReplyDeletePia namuunga mkono aliyesema siku hizi mnafanya sex kama starehe pekee badala ya kusdio lake kuu ambalo ni uzazi. yajulikana mwanamke hushika mimba mara 1 kwa mwezi na hapo ndipo minye**** inakuwa juu. Sasa hizi siku nyingine zinakuwa ni suna tu hasa kumuonshea mzee rungu ili lisikauke sana wakati akikusubiri upandishe munkari. Sasa nyie mshageuza ni ligi sasa. Mtakoma. Jidanganyeni kulangua Liukimwi limewatolea mimacho na midomo iko wazi mkanase nadio mtajutia kulazimisha kwenda kinyume na maumbile yenu.
Wewe hujitambui. Una tamaa nyingi na unataka utafute sababu ya kutokea nje. Nafsi ukiiambia kwamba itapata tendo la ndoa mara 1 kwa wiki huwa inazoea na inakuwa hivyo bila shida. Lakini wewe kwa vile unatamani na vya mitaani ndio maana akili yako umeiruhusu ikubali kwamba hiyo mara 1 unayopata haitoshi. Jaribu kuiridhisha nafsi yako kwa kufanya vile utakavyo usitafute vijisababu. Lakini ukumbuke UKIMWI upo na hizo kondom mnajidanganya nazo kwani hata waliokufa na ukimwi waliingia kwenye zinaa wakijua kuna condom. Hakuna mtu mwenye maadili yake atakayekuruhusu utoke nje ya ndoa eti kwa vile hutosheki.
ReplyDeleteNitafute nikupatie tiba mbadala
ReplyDelete+255 71 321 1726
Pole my sister.....kukosa hicho chakula ni noma unaishije? mi nisingeweza maana unachanganyikiwa ati...sasa tafuta tu serengeti boy avae condom akusugue umalize hamu yako basi maisha yaendelee ndicho kilicho baki kusuguliwa muhimu mamii...
ReplyDeletemtoto wa kitanga!
piga punyeto my dia............haahaaaa
ReplyDeleteMadhara ya kushea ni kansa ya uzazi, hilo liko wazi wataalam wanasema. Take care dada yangu.
ReplyDeletePole dada....
ReplyDeleteLakini vumilia maana kutoka nje ni sawa na kuruka maji na kukanyaga moto. Siku hizi maradhi ni mengi. Halafu ukianza kuwa na mahusiano nje ya ndoa heshima yako itashuka tu mbele ya jamii. maana wanajamii watajua tu. ambayo haadaye itakuletea matatizo kwa mumeo.
USITU CHEZEE AKILI WEWE NI DUME!
ReplyDeleteIngawa sijasoma maoni ya mtu yeyote hapo juu, lakini nashukuru kwamba mada kama hizi hupata wachangiaji lukuki.
ReplyDeleteLako hilo bidada! limekugaaaaanda limekuganda! ....unalo!
ReplyDeleteUwiiiiiiiiiiii, tagadhali nitafute kupitia e-mail ifuatayo mambo.moto@yahoo.com nakwamia utamsahau mumeo kwa kazi nzuri nitakayo fanya. Please please nimetibu wengi wenye tatizo kama lako.
ReplyDeleteKuna sababu nyingi zinawafanya wanawake wasitosheke ndani ya ndoa zao. Na mara nyingi wanaume wanaichoka ......ya mwanamke kutokana aidha
ReplyDelete1: Mwanamke kukosa mvuto
2: Maumbile ya kikke kukaa hovyo (kubwa sana, kulegea, water, harufu, ujuzi, nk
3: Mwanamke kuwa sugu sehemu za uke yaani hata upige vipi hasikii
4: Kutokuwa na upendo wa dhati tangu mwanzoni labda ilikuwa kwaajili ya pesa au mali nyingine
umaskin ndio ulio kupeleka kuwa mke wa tatu sipend ,wewe mwizi pia mroho angalia sasa haya huna unahaha hadi kwenye mitandao,tafuta wako dear mwachia bi mkubwa ale siku zake saba,eti pesa ya kula si haba hizo ndizo mnaendapu kuwa 3 ,ninauhakia anao vimada 3 nje mzee lazima awe hoi ,ujumbe mwachie bi mbubwa kitu chake
ReplyDeleteINASIKITISHA SANA, MAADA ZA MSINGI ZINA MAONI 8 KWA MUDA WA SIKU 2. MAADA AMBAZO HAZINA KICHWA WALA MGUU ZINA MAONI 38 NDANI YA SIKU 1 KUANZIA SAA TANO MPAKA SAA SABA. TUTAFIKA KWELI? NI KWAMBA HATUJUI TUNACHOKITAKA AU TUMECHOKA?
ReplyDeleteBadili ukaaji mnapokuwa mezani mnakula chakula cha usiku/hata cha mchana:leo kaa kiti cha ukutani kesho kaa kiti cha upande mwingine,nk.atakuona tofauti kila anapokuja kupata menu..na ataendelea kuja kupata mlo mara kwa mara na wewe.we kila siku mkiwa mnakula umekaa upande ule ule unategemea nini
ReplyDeleteDavid Villa
Fungueni akili nyie, nadhani hili ni suala ambalo ni muhimu kwa watanaznia kuliko mengine ambayo ni hatari mbele ya macho yenu kilasiku hata kujibiwa hamjinu. Huyu mama hana tatizo antaka starehe kama antaka starehe haipantikani kwa mwanamume mmoja tu inapatikana kwa wanume tofauti tofauti, nenda mtaani katafute starehe. Kama unauwezo wa kuandka kwenye mtandao una uwezo wa kuata syatehe, kama mumeo anwake watatu kwani ni wewe usiwe na wanume watatu. Tumia akili na siyo unasikiliza ya watu, nenda mtaa and good luck.
ReplyDeletemi naona apeleke hii ishu kwa watu husika sio kuanika anika mambo ya ndoa yako nje sio vizuri kidini ni hayo tu na ujuwe kuwa wewe mke wa 3 na mmeo hatumjui pengine pia umri na kazi au hamumpatii mambo muhimu yanayotakiwa kufanyiwa mme wenu mh kazi kweli!
ReplyDeleteSolution ni KULANGUA tu hamna njia nyingine.Kuvumilia kunakunwa kwa siku moja lakini maisha ya ndoa mazima uvumilieje na minyege ndiyo hiyo?Utapata magonjwa bure kukaa na mawazo.Ukilangua kumbuka kuwa na kinga daima basi.
ReplyDeleteMimi nina mmoja tu lakini jamaa hajiwezi tumefanya kila njia kumsaidia lakini imeishia ukingoni.Nilichoamua ni kutafuta mstaraabu mmoja niliyehakiki anye afya na usalama wa penzi basi huyo ndiye anamsaidia mume wangu kunitoa kwenye simanzi la masuala ya chakula cha usiku.Mume wangu anachofya tu inaishia.Sasa wewe ikikaa kimya utapata kichaa bure na uzee ndiyo huoooooooooo!
HAJAZAA NAE KWANI? MBONA AJASEMA KAMA ANA MTOTO?........
ReplyDeleteUSHAURI WANGU AITIE MAJI VIZURI INUKIE COZ WANAWAKE WENGI HAWAJUI KUZIOSHA ...IKIWA NA KAARUFU KIDOGO ALAFU JOTO ATA MIMI NAKIMBIA....
Mhh sina mengi kuolewa mitala ukweli ni kinyaa wenzetu hawa sipati picha !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMdau wa 12:45 PM uliyeuliza kama ameolewa kwa ajili ya dini au kupata fedha, kwani ametaja jina lake au la mume wake? Mwache aeleze vyema mambo yake.
ReplyDeleteIla nakubaliana na yule aliyeandika kwamba siku hizi hiyo kitu imekuwa ni starehe zaidi, jamani tupunguze tuwaze kazi na siyo kitu hicho tu.
Mwengine anasema eti oooooh anakuletea uchafu, kwani nyinyi wenye mke mmoja na nyumba ndogo kila kona muna afadhali gani kuliko huyo ambaye anajua kwamba ana wake wawili wengine?
Mtihani mkubwa hapo.
WEWE JINUNULIE UUME MWANASESERE (MALE PENIS TOY ) SIKU AMBAZO SIO ZAMU YAKO UNAJIHUDUMIA....
ReplyDeleteHivi uchafu ni huyu aliyesettle na wake zake 3 au hao wenye kuparamia kila wamwonae barabarani? Tena wengine wanajikokotea tu bora apate wa kumaliza haja zake, hawaishi kwenye maanguro huko vichochoroni.
ReplyDeleteNa huyu aliyeleta hii neno ni mwanaume maana style yake ya maneno ni ya kiume ila swali zuri na lina mafunzo ya kutosha, wenye mitala wengi wanalangua tu, tena ogopa wale ambao wamekuwa mashoga na wanakaa nyumba moja. Kuna jamaa ilikuwa akiwa zamu kwa bi mkubwa basi bi mlogo yeye anatayarisha maji ya kuoga na breakfast. Na zamu ya bi mlogo hivyo hivyo bi mkubwa anatayarisha maji ya kuoga na breakfast. Baba mwenye nyumba akajiona kijogoo ameweza kuthibiti wake zake wanaishi vizuri kwa mapenzi. Kumbe bwana akiwa na mmoja mwingine analala kona yaani analangua na wakaweka plan mume asitoke nje akilala kwa mmoja wao mpaka mwenzie arejee nyumbani, na njia ya kujua kuwa karejea ni kugongewa mlango na kuambiwa kuwa "maji ya kuoga ya tayari bafuni", basi mwenzie anamtoa bwana chumbani huku bwana ajisifia wake zangu wana tabia nzuri na wazuri si wakorofi. Mnacheza na wanawake nyie akitaka kulangua hana haja ya kuuliza umati, hutajua wala mumewe hatajua! Na mtoto wa nje atapewa huku akiambiwa " yaani huyu mtoto mmefanana masikio" au "kafanana na bibi yake kabisa" Njia nyingine atatafuta mwanaume ambaye angalau anafanana na mumewe! R
Eeeh ngoja niishie hapa nisijezua ishu nyingine! Nyie leeni tu hao watoto msianze kuangalia masikio wala sura! lol!
.
Watz tunapenda sana mambo haya ya Mapenzi, Ngono na Mahusiano kwa ujumla kuliko mambo ya kimaendeleo kama kazi, kujisomea n.k kwa nini hatuigi wenzetu wa Japani na nchi nyingine. Kuna habari nyingi hapa kwa michuzi kama ziara ya Hon Dr. Jakaya Mrisho Kikwete nchini Uganda, Mh. Mizengo Pinda kufungua kituo cha Uwekezaji n.k hakuna hata mtu anayechangia tumebaki kuchangia mambo ya Ngono. Ndugu zangu maisha sio Ngono tuuu, harafu kwenye mabasi na vijiwe vya kahawa mnalalamikia serikali maisha magumu kumbe akili zenu zimejaa ngono tuuu. Tubadilike jamani
ReplyDeleteMdau Japani
Mi nashangaa maana mke wangu yuko tofauti na huyu, kila ukimgusa anakupiga kalenda, mara ooo nimechoka, mara chai utakunywa baadae asubuhi, mara sijisikii, yaani hadi sioni raha ya kukaa na mtu wa kike, sasa nashangaa kusikia mtu ana kilio ambacho wengine wanakiona kero, natafuta mtu mwenye tatizo kama la huyu mama mmoja tu na anuani yangu ni katerero73@gmail.com
ReplyDeleteMichu usiitupe kapuni ninakufa kwa kukosa dinner.
Waelezeni ukweli. Maisha si ngono tu. Majukumu kwanza ngono baadae. Hata huyo anayemlalamikia mume wao naye akili yake ipo kwenye ngono tuuu ndio maana hatosheki. Ajaribu kuwa bize na kazi za maendeleo badala ya kuwazia mpini.
ReplyDeletebi dada katafute shamba ukalime ama tafuta kibarua chochote uwe busy na maisha....acha kuwaza chakula cha usiku mara 4 kwa wiki! mtamuua baba wa watu bure! alafu kungwi wako alokufunda alitakiwa akufunde kuishi mitala na sio kivileeeeeeeeeeeeee mtu mwenyewe unaenda mahali ambapo tayari pana wake wawili wa ndoa na wewe wa watatu. na bado ukute huyo mume wenu ana nyumba ndogo kama 2 na wanafunzi wa sekondari kama 3 hivi heheheheheh. pole sana, ama kweli ndege mjanja hukamatwa na tundu bovu! umefundwa weeeeeeeeeeeeeeeeee, ona ulipokamatiwa hahahahahahah. mie simo!
ReplyDelete