Dominique Strauss-Khan's third wife Anna Sinclair, left, leaves court with his daughter Camille after the former IMF boss is granted bail
Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/article-1388834/Wife-daughter-disgraced-IMF-boss-arrive-court-appeal-bail-hearing.html#ixzz1MrCCmdJV
 Strauss-Kahn comes back into the court after a short recess

In front of a packed Manhattan courtroom on Thursday afternoon, Judge Michael Obus, granted bail to former International Monetary Fund (IMF) Managing Director, Dominique Strauss-Kahn who is facing trial for allegedly sexually assaulting a maid in a Manhattan hotel. 

This is what is told to be the outcome of the ruling issued at a Manhattan criminal court, which directs Strauss-Kahn to:

  1. Post $1 million cash as part of the agreement.
  2. Remain confined to his daughters's New York City apartment.  
  3. Provide $5 million, an insurance bond set against his properties in the US.
  4. He has to surrender all his travel documents.

Stringent conditions on his release would include:
  1. Wearing an electronic bracelet that would send a signal to the company and a police station the moment Strauss-Kahn left the property
  2. House installed with video cameras to monitor him inside the property
  3. Have a 24-hour rotation of armed guards who would be physically present at the apartment.

THE ACCUSATION(s)
Subi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2011

    Uncle hii Ungeiposti kama News inayojitegemea kwani inahusisha Kesi ya Strauss na matukio kam hayo yanayowahusu viongozi/maofisa wetu Tanzania huko ng'ambo.

    Source ni Reuters: Heading: Strauss-Kahn case raises issue of diplomat abuse in U.S.

    Link ya habari hiyo: http://www.reuters.com/article/2011/05/18/us-strausskahn-diplomats-idUSTRE74H54320110518?feedType=RSS&feedName=domesticNews

    Habari yenyewe kwenye Reuters kifupi ineelezea jinsi gani viongozi wenye wadhifa na pia diplomatic immunity huko ng'ambo wameweza kuvunja sheria bila ya kuadhiwa kwa sababu za hizo diplomatic immunity. Mfano uliotolewa kwenye chombo hicho ha habari Reuters hapa marekani ni Jinsi viongozi/maofisa wetu wa Tanzana - ofisa balozi na ofisa mtanzania aliyekuwa World bank New York waivyopelekwa mahakamani kwa kesi zinazofanana na ya Strauss za abuse na wakakutwa na hatia lakini walirudishwa nyumbani Tanzania na serikari ya markani iliomba serikali ya tanzania kuwachukua hatua huku nyumbani lakini mpaka sasa hakuna hatua zilizochuukuliwa. Sijui kwa nini Reuters ilitoa mfano wa Tanzania.

    Asante; joeshefu

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2011

    innocent till proven guilt, i don't think he did it. subirini the truth will come out.

    ReplyDelete
  3. HAO JAMAA WAPO WAKALI KWA MATATIZO YA UKIUKAJI WA SHERIA.
    MAONI KWA WATANZANIA UKIENDA USA AU ULAYA utaona mwanamke anakuwa karibu na wewe mnafanya naye kazi hakuogopi yaani anakuwa kama girl friend wako UKIKOSEA UKAMSHIKA SEHEMU ASIYOTAKA YEYE KAMA KUMBINYA VIDOLE KUMKUMBATIA KWA NGUVU ndugu yangu akipiga simu polisi utakamatwa kama jambazi si umeona mkuu wa khann alivyokuwa mikononi wa polisi basi ndivyo hivyo itakavyo kuwa.
    KWA wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania sio leo tu wanafukuzwa sana au wanarudishwa nyumbani kwa makosa kama hayo na naomba wabunge wamuulize waziri wa mambo ya nje tangia mwaka 1998 mpaka sasa wafanyakazi wangapi walipatikana na makosa kama hayo ya ubakaji?
    SOMO KWA SISI WATANZANIA NI KWAMBA TUWAESHIMU WASICHANA AU WANAWAKE NA TUJUE KWAMBA UKIMNYANYASA MWANAMKE ETI KWA KUMGUSA BILA RIDHAA YAKE
    NI KOSA KUBWA UNAFUNGWA JELA MIAKA MINGI KWA UPUUZI

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2011

    MBONA ZA TERMINATOR HATUHABARISHI, AU BONGO KUNA WATU WENGI KAMA YEYE?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 20, 2011

    Could you please name those officials? Hatuna uwezo wa kuwashitaki but naming and shaming them is far enough!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 21, 2011

    Mimi nilikua naamini he did it (raping her) lakini leo kuna channel wameelezea jinsi ilivyokua mhhhhh...tususbiri tu lakini kuna mtu ataumbuliwa hapa...It was a consensual sex hapa..Yule lawyer ambaye alishamrepresent hata Michael Jackson kwenye kesi yake..alikua anazungumza leo kuna point alizisema zilinifungua macho...

    Huyo baba siku hiyo alikua anayake alivyoita receptionist aende chumbani kwake wakanywe wine alivyokataa huyu alijipeleka nini huko kwenye chumba chake? Na before her kulikua hamna mtu aliyeita room service humo? Na kulikua na mwingine alitoka kwenye hicho chumba mfanyakazi mwingine that was the sevice he wanted then kidogo huyu akaenda humo ndani alifuata nini? Na hamna mahali panaonyesha huyu baba alihitaji any kind of her room service maana yeye ni mhudumu wa kusafisha..na aliyetoka alipeleka sijui vinywaji au chakula na wanasema ati aliona mlango uko wazi na ati ukiwa wazi basi wanaingia na kama hakuna mtu wanasafisha sasa inasemekana alivyoingia humo kwenye hicho chumba huyu baba alikua uchi sijui bafuni au uchi tu huko chumbani mwenyewe kwa nini kama aliona hivyo asifunge mlango na kuondoka haraka? Alikua anahitaji something that day too na yeye..Alivyoona receptionist ameitwa hakwenda basi yeye ndio akaona aende kuzichukua pesa yeye..Au ndio mtindo wao wakiona mtu anahitaji mwanamke wanapasiana sasa siku hiyo something went very wrong.....Mimi naona huyu msichana na group lake walitaka kupata hela kidogo na hawakujua itakwenda mbali hivi...Au alijua huyu kibabu kimelewa hivyo atamshikashika tu base achukue hela kumbe kali pop viagra muda si mrefu who knows..unaona mtu yuko uchi unasubiri nini??? Mind you she is 32 obvious at that age you know it when someone wants something so it was her choice to say no and run...Hamna mtu aliyesikia kelele zozote na kulikua kuna watu kwenye room zingine alafu anakuja sema walikimbizana kwenye corridor.....

    Ni wrong huyo mwanamme alichofanya kwa vile ana mke lakini whatever they did it was btn two grownup people...How could you do the foreplay with someone you don'teven know? The foreplay was okay but not the sex???!!!!! Bummer.....
    Tusubiri tu kunavitu havibalance the price of being famous ..Na kuna maDA wengine wanaona hapa ndio watapata jina basi wanaichukua kesi hata wakijua ushahidi haupo vizuri au unajulikana kabisa ni scripted.....Lakini kwa vile ni big shot person basi wanaikakamia tu kesi...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...