Meneja wa Bia ya Tusker ambao ndio wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu (ZIFF),Rita Mchaki akizungumza usiku huu wakati wa uzinduzi ramsi wa Tamasha hilo litakaloanza kufanyika mapema mwezi ujao katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.Uzinduzi huu umefanyika katika hoteli ya Movenpic jijini Dar.kulia ni Mratibu wa Tamasha hilo,Marlene Larsson.

Meneja wa Tamasha la ZIFF,Daniel Nyalusi akizungumza muda mfupi kabla ya kuonyeshwa kwa filamu ya siku nyingi ifahamikayo kwa jina la "HARUSI YA MARIAM" ambayo iliwapendeza wengi katika uzinduzi ramsi wa Tamasha la Filamu la ZIFF linalotarajiwa kuanza kuonyeshwa hivi karibuni katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.Uzinduzi huu umefanyika usiku huu katika hoteli ya Movenpic,jijini Dar.

Mkurugenzi wa ZIFF,Prof. Martin Mhando akiongea na wadau waliohudhulia uzinduzi huo usiku huu kwa kupitia mtandao jamii wa SKYPE na kutoa shukrani zake kwa waliojitokeza kwenye uzinduzi huo.

Ambwene Yessaya a.k.a AY akiwa na Mdau Ahmed.

Wadau wa SBL pia walikuwepo,kati ni Meneja wa Bia ya Tusker,Rita Mchaku,kulia ni Bahati Singh na kushoto ni Ben Mariiki.

kwa picha zaidi za uzinduzi huo
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...