Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo katika kaburi la Marehemu Mary Kahama mke wa  Waziri wa Zamani na mwanasiasa mkongwe Clement George Kahama(aliyesimama watatu kushoto) wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni  jijini Dar es Salaam leo jioni.
Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Mary Kahama Mke wa Waziri mstaafu na Mwanasiasa mkongwe Clement George Kahama(aliyesimama nyuma kulia) wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo jioni Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...