Nyota wa muziki wa bendi mbalimbali wakifanya mazoezi tayari kwa onesho la pamoja jijini Dar enzi za Mwalimu. Mdau mwenye data zaidi msaada tutani tafadhali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 17, 2011

    Muhidini Ngurumo wa kulia hapo!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 17, 2011

    Muhidin Ngurumo (Wa kwanza kulia) akifuatiliwa na Marehemu Marijani Rajabu (al-maarufu kama Jabali la Muziki)(Pili kutoka kulia- mwenye shati jeupe)

    ReplyDelete
  3. Muulize KITIME ana data zote hapo.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 17, 2011

    Ankal naomba basi ututafutie nyimbo za Tanzania all stars kuna moja Marehemu Marijani Rajanu alighani kiarabu kama sikosei kwa kweli mchanganyiko wa vibaji ulikwa unatisha.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 17, 2011

    wapili toka kulia waimbaji ni Cpt mabruki wa mwenge jazz,wanne ni Feresh jumbe mkuu,mwenye miwani ni mzee zahie ally zorro, marijani na Gurumo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 17, 2011

    "usipowajibika ole wako utakumbwa na fagio la chuma" ...ni enzi za mee ruksa si za mwalimu.

    ReplyDelete
  7. Mdau, wa pili toka shoto ni marehemu Maburuki (kiongozi wa mwenge Jazz - kikosi 94 mwenge) alikuwa rafiki mkubwa wa babu yangu Elias Luza mpiga saxophone mshuhuri tangu simba wanyika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...