Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akipokea ripoti ya Mkoa kutoka Mkuu wa Mkoa Mjini Mahgaribi Abdalla Mwinyi Khamis,alipotembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdalla Mwinyi Khamis,(wapili kulia)Waziri Ali Juma Shamuhuna,Wizara ya Ardhi,Makaazi,Maji na Nishati,(katikati) na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar,alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akipewa maelezo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdalla Mwinyi Khamis,alipotembelea Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushoto)akizungumza na wananchi na madaktari wa kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,(kushoto) Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Mhe,Dr. Sira Ubwa Mamboya.
Baadhi ya Maofisa wa kutoka wizara mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza nao leo,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushoto)alipotembelea kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akiangalia mashine za uzalishaji wa Mbegu za Ng'ombe, huko Maruhubi katika kituo cha uzalishaji mbegu hizo, kilicho chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(katikati)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji Mifugo,Hafidh Saidi,(wapili kulia) huko Maruhubi katika kituo cha uzalishaji mbegu za Ng'ombe,kilicho chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein, akisalimiana na wazee wa jimbo la Mpendae alipotembelea kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Mzee Khamis,alipotembelea eneo la viwanja vya Mnazi Mmoja leo,akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
hapa Mnazimmoja siku hizi pamekuwa bahari. Nasikia zamani bahari ilikuwa kutoka funguni mpaka huku ila ilijazwa udongo na kuizui isiingie. Jee Mkuu wa Mkoo ana mpango gani wa kuiboresha sehemu hii ili iwe na mandhari nzuri
ReplyDeleteHongera Bwana Rais kwa ziara yako maana naamini inakupa taarifa sahihi za hali ilivyo ingawa najua mara nyingi utapelekwa maeneo yenye taswira mzuri. Nadhani umeiona hali ya njia inayoelekea kituo cha afya ilivyo mbaya, kifusi tu kiwazea kusaidia kupunguza tatizo hili. Tunakuomba utumalize kituo chetu cha Afya Mpendae, kwa kukamilisha ujenzi wa ghorofa. Pamoja na nia njema ya kutoa huduma, wasimamizi/wapambe wa mradi huo ni wa mrengo mmoja tu na hata miongoni mwao kuna mgawanyiko. Kambi ya mbunge wa zamani na sasa inabidi zivunjwa na chama tawala ili kuharakisha kuleta maendeleo
ReplyDeleteMpiga Kura, Mpendae