 |
| Hayawi hayawi yamekuwa wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kumeremeta katika kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano jijini Dar ni wadau Julius Nalitolela na Bernedetha Alex wakiwa katika pozi la picha. |
Bwana harusi na bibi harusi Julius Nalitolela na Bernedetha Alex wakigongesheana gra shampeni katika mnuso wa harusi yao hiyo
Bwana harusi Julius Nalitolela akisaidiwa na babu yake Patrick kupita juu ya migongo ya wazazi wake wakati alipokuwa akiingia ukumbini Royal Skyline ikiwa ni sehemu ya kudumisha mira ya Wayao wa Nandenga Masasi Mtwara ,baada ya kufunga ndoa katika kanisa la St,Albano jijini Dar es Salaam.
 |
| Bibi harusi Benedetha Alex ambaye kabila lake ni msukuma akielekezwa mila na desturi za wayao na babu wa mme wake Julius Nalitolela mzee Patrick wakati alipokuwa akiingia ukumbini kwa kupita juu ya migongo ya akina mama wa Kabila la Wayao wa Masasi Mtwara. katika harusi iiliyofungwa katika kanisa la St.Albano na kufuatiwa sherehe kubwa illiyofanyika ukumbi wa Royal Sklin jijini Dar es Salaam. |
Eeh jamaa eeh kweli kuna mila na mila:-) Sasa yote haya ya nini toba:-)? Ukija ukitengua mguu au uka-slip juu ya mgongo wa mtu? Sielewi!
ReplyDeletehizi ni mila za kweli? poleni sana hao mlio pitiwa migongoni. hawa watu kama walikua wanafuata sana mila wange wavalisha maharusi kaniki au majani. bibi harusi be careful kwasababu this is just the beginning. mila za hao watu ni nyingi sana.
ReplyDeletesasa mbona bibi harusi yeye hakuvua viatu siakuwa anawaumiza wenzie na viatu ukizingatia viatu vinavisigino mila zingine ni hatari kuliko malaria
ReplyDeletenw this is jst painful...the significance of this is very vague..anyway..hongereni mwaya!
ReplyDeleteShemeji Peter Nalitolela wa Mologolo ze Mzumbez yuko wapiiii?
ReplyDeleteKaaazi kweli kweli ! duh !!! nimeweka mkono shavuni !!!
ReplyDelete