Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Bw. Alfonso Lenhardt wakati alipokwenda kujitambulisha na Kubadilishana Mawazo kuhusu Masuala ya Mazingira,leo Ofisi Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania, Bw. Mohsin Movahhed kuhusu Masuala ya Kuanzisha Mashirikiano baina ya Tanzania na Iran kwenye Mauala ya Mazingira(Picha na Ali Meja)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...