gari aina ya Toyota Premio ambalo liligongana na gari aina ya fuso na kurushwa nje ya barabara siku ya kuamkia jumapili kama linavyoonekana maeneo la Kibeta yaliyopo katika manispaa ya Bukoba, katika ajali hiyo hakuna mtu aliyekufa na lilikuwa limepakia watu wawili, mmoja alikatika mguu na mwingine akapata maumivu kichwani. Picha na Audax Mutiganziwa Globu ya Jamii, Bukoba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...