Mfanyakazi, James Peter ( 20), wa Kampuni ya Kiwanda cha Mazava cha Kutengeneza nguzo za michezo , akiwa amenasa kwenye paa wakati akijaribu kupenya ili kutoka nje baada ya kutoboa bati mara baada ya kusemekana kuiba fedha kiasi cha shilingi milioni 26.7 kabla ya kufungiwa ndani ya Kiwanda hicho, Mei 29, mwaka huu.
Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro.
Hii habari ina walakini,hebu tufafanulieni tafadhali! Na kwa nini hana nguo?
ReplyDeletenilidhani nafahamu kiswahili!
ReplyDeleteNi kwanini ananitamanisha??
ReplyDelete