Mfanyakazi, James Peter ( 20),  wa Kampuni ya Kiwanda cha Mazava cha  Kutengeneza nguzo za michezo , akiwa amenasa kwenye paa  wakati akijaribu kupenya ili kutoka nje baada ya kutoboa bati mara baada ya kusemekana kuiba fedha kiasi cha shilingi milioni 26.7 kabla ya kufungiwa ndani ya Kiwanda hicho, Mei 29, mwaka huu. 
Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 07, 2011

    Hii habari ina walakini,hebu tufafanulieni tafadhali! Na kwa nini hana nguo?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 08, 2011

    nilidhani nafahamu kiswahili!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 08, 2011

    Ni kwanini ananitamanisha??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...