KUTOKANA NA WINGI WA HABARI NA TASWIRA KIBAO IMEKUWA KAWAIDA SASA HABARI AMA TASWIRA KWENDA UKURASA WA PILI AMA WA TATU KWA KADRI HABARI NA TASWIRA MPYA ZINAVYOINGIA. HII  HAIMAANISHI ASILANI KWAMBA HABARI AMA TASWIRA IMEONDOLEWA. NI KWAMBA IMESOGEA TU KWENDA KATIKA KURASA ZILIZO NYUMA.

HIVYO BASI, KWA KUPATA HABARI KATIKA UKURASA WA PILI AMA WA TATU NA HATA WA NNE NA KUENDELEA, BOFYA MAANDISHI YASOMEKAYO 'HABARI ZILIZOPITA' CHINI KABISA KULIA ILI KUFUNGUA UKURASA  UNAOFUATA. BOFYA TENA NA TENA KATIKA MAANDIKO HAYO ILI KUFUNGUA KURASA MMOJA BAADA YA MWINGINE. WAKATI MWINGINE HABARI HUENDA UKURASA UNAOFUATA SIKU HIYO HIYO. NI KAMA KUFUNGUA UKURASA MMOJA HADI MWINGINE.

AIDHA, UKITAKA KUTAFUTA HABARI KWA JINA AMA TUKIO, ANDIKA HILO JINA AMA TUKIO NDANI YA NAFASI ILIYO JUU KULIA YENYE MAANDIKO 'TAFUTA CHOCHOTE HAPA' NAWE UTAFANIKIWA. MFANO  KAMA UNATAKA HABARI ZOTE ZA CRDB ANDIKA NENO 'CRDB' KWENYE KINAFASI HICHO  PALE JUU KULIA (CHINI YA MATANGAZO) NAWE UTAPATA HABARI ZOTE NA TASWIRA ZA CRDB ZILIZOMO HUMU. BOFYA 'HABARI ZILIZOPITA' KUTAFUTA HABARI AMA TASWIRA ZA AWALI ZA CRDB UNAZOZITAKA.

TUMELAZIMIKA KUTOA UFAFANUZI HUU MARA KWA MARA SABABU BAADHI  YA WADAU WANAISHIAGA UKURASA WA KWANZA TU KWA KUDHANI LABDA HABARI AMA TASWIRA ZIMEONDOLEWA. KUMBUKA HABARI HAIONDOLEWI BALI INAHAMIA TU KURASA ZINAZOFUATA,  AMBAZO ZINAPATIKANA BILA TATIZO KWA KUBOFYA 'HABARI ZILIZOPITA' PALE CHINI KULIA.

VILE VILE LIBENEKE LA GLOBU YA JAMII LINAPATIKANA PIA KATIKA TWITTER, YOUTUBE NA FACEBOOK. UKIANGALIA JUU KULIA UTAKUTA ALAMA YA HUDUMA HIZO. BOFYA ALAMA YOYOTE UENDELEE KULIBENIKA BILA KELELE WALA MIKWARUZO.

LIBENEKE OYE!
-MICHUZI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2011

    Thanx m-thupu nilikuwa sijui kama unaweza kusearch ila pia kuna nini siku za nyuma ukituma maona mpaka ubofye si chini ya mara nne. ughaibuni ni hatari kurudia jambo mara tatu make muda mmmh hautoshi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...