Mdau nambari wani wa Globu ya Jamii wa Cesena, Italy, Baraka wa Chibiriti (kulia) akimpongeza mwanamuziki nyota wa bendi ya Mapacha Watatu, Jose Mara, ambaye karudi fresh toka Dubai na ndnga mpya ikiwa ni matunda ya juhudi za Mapacha watatu ambayo yameanza kujionesha baada ya kukonga nyoyo za wadau wa muziki wa kizazi kipya cha muziki wa dansi. Chibiriti yuko vekesheni Bongo na kaamua kujitokeza baada ya malalamiko kibao toka kwa wadau wa Globu ya Jamii kwamba wamemmiss sana sana.
Jose Mara na ndinga lake akiweka tint pamoja na kuchora namba kwenye vioo kuepusha vibaka. Hapa ni nje ya Club Billicanas jijini Dar leo
Misupu huyo CHIBILITI umempa kontakts za Yule Jamaa wa Napoli aliekuwa anatafuta Watanzania wenzake?
ReplyDeleteNa huyo Chibiliti wako alishauza ile KOMPYUTA yake ya Mwaka 47 yenye KICHOGO?