Mkurugenzi mtendaji wa shirika la huduma za abiria na ndege (ground handling) pamoja na kupakia na kupakua mizigo katika viwanja vya ndege ya SWISSPORT Bw. Gaudence Temu aongea wakati wa uzinduzi wa huduma za usafirishajii mizigo itayotolewa na shirika la ndege la Afrika Kusini (SAA) nchini iliyozinduliwa Jumatatu hii katika mkia wa jogoo uliofanyika ukumbi wa Hellenic Club jijini Dar
Home
Unlabelled
bosi wa swissport tanzania gaudence temu aongea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante saana mkurungezi kwa kufafanua na kuelezea vizuri saana kazi ambazo swissport ina fanya. Mimi nilidhani kazi yeni ni kupakua mizigo na kupakia kwenye ndege tu....
ReplyDelete