Mabingwa wapya wa Pool katika Mashindano ya Safari Lager kwa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini,Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakishangilia na kombe lao stendi kuu ya mabasi yaendayo mikoani ya Ubungo walipowasili jijini Dar jioni ya leo na basi la Shabiby wakitokea mini  Dodoma kulikofanyika fainali za Mashindano hayo.
Wachezaji wa Pool wa Timu ya  IFM wakilakiwa na wenzao na maofisa wa kampuni ya Intergrated wanaoratibu mashindano hayo walipowasili stendi ya mabasi Ubungo. 
Msafara wa kuelekea IFM unakatisha mitaa ya Dar kwa nderemo
Msafara ukikatiza mitaa ya Manzese jijini Dar jioni ya leo.
Burudani ya hapa na pale ilitawala katika stendi ya Ubungo jioni ya leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...