Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA),Gaudensia Simwanza akionesha dawa feki ya kuongeza ukubwa wa makalio katika banda TFDA kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma ya Umoja wa Mataifa na Afrika yanayoendelea Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam.
Picha na Kamanda wa matukio Richard Mwaikenda
kama ni dawa feki kwa hiyo ziko genuine(halisi) za kuongeza makalio?
ReplyDeleteMdau Mtowisa, Rukwa.
KWELI TUKO NYUMA. HIYO NI KAMA KUIPIGIA DEBE. MATAPELI NAO WATACHUKUA HIYO KAMA SAMPO NA KUTENGENEZA ZAO! TUMEKWISHA!!
ReplyDeleteWewe mdau wa kwanza umeninyang'anya tonge langu! Sasa hizo genuine ni zipi na kwa maana hiyo ni ruksa wanawake kuongeza makalio? Nafikiri kwa wadad wa kiafrika ambao kwa sili mmejaliwa hayo madude hamna haja ya kutumia hiyo midawa. Waachieni hao walionyimwa. After all si kila mwanaume anavutiwa nayo. Naamini asiye nayo anao wakumtosha wasioyahitaji.
ReplyDeletemimi nahitaji sana hiyo dawa ya kuongeza makalio sijui nitaipata vp kama kuna mdau wowote anaeweza kunifahamisha jinsi ya kuipata hiyo dawa naomba anifahamishe nitawezaje kuipata hiyo dawa
ReplyDeletemdada wa ughaibuni.
wowowo! duh! hivi kuna faida gani kuwa na diffential kubwa?
ReplyDeletehizi dawa ziwe halali au zisiwe halali si nzuri kiafya. Kitu chochote kinachotakiwa kukubadilisha maumbile au rangi si vyema kutumia. wale wanaojichubua wanaharibu ngozi na hasa kujihatarisha na kupata cancer ya ngozi. vilevile hao wanaotaka kuongeza maziwa au matako nao mathara yapo na tutayaona karibuni kadri watu wanavyotumia. Kimoja cha kuzingatia hasa wewe mdada wa ughaibuni ni uridhike na maumbile yako jinsi Mungu alivyokuumba. Ni kweli kua kama ni wanaume wapo wanaovutiwa na wanawake wenye pasi au walio na maziwa makubwa/madogo. Kuweni makini maana huko hizi dawa zinakotengenezewa wenyewe hawana makalio makubwa na hawahitaji.
ReplyDeleteHIYO SIYO NJEMA KABISA,TENA NI MARAZI MAKUBWA HAYO TUSIDANGANYIKE WADADA,NASIKIA NA WANAUME WANAZO ZA KUKUZIA MAUMBILE YAO,HIVI TUNAKWENDA WAPI?BAADA YA MUDA UNAKUWA HUNA MARKET TENA,UNASINYAA NA KUPOTEZA MVUTO,MBONA UKIWA WAKAWAIDA UNAPATA MUME NA UNAOA AU KUOLEWA KWA HESHIMA,MANA WENGI WANAPAKA ILI KUPATA WANAUME ,WANAOTENGENEZA HAWATUMII,WANATUPA NCHI NYINGINE KWA AJILI YA BIASHRA.
ReplyDeleteKila shetani ana mbuyu wake. Personally sidhani kama wowowo ni uzuri.
ReplyDeleteMdau wa kwanza, ninavyojuwa mimi hamna dawa ya kuongeza makalio wala uume. Kuna dawa za kuuwezesha uume u-function lakini hiyo haitabadili size ya mzinga. Wenye kuuza madawa yote hayo ni matapeli tu.
ReplyDeleteyataka moyo kununua cansa dukani; kila la kheri
ReplyDeleteDawa za kuongeza makalio au maziwa zipo. ukitaka kujua nenda kwa mashoga wa kizungu waliojibadili maumbile utaona wana maziwa makubwa tu tena mazuri kama ya demu lakini kumbe ni ya kichina. Mimi niliwahi kukutana na mmoja Uingereza kwa nje yuko kama demu kila kitu kuanzia sauti, mavazi hata maumbile. tulipofika uwanjani kabla ya kushusha akaniambia smahani mimi sina nanihii (yaani K***a). Kw amshangao nikamuuliza unasemaje? akarudia tena sina K***a. Nikamuuliza kwa hiyo akaniambia nitakupa "back door". Nikamuomba anioneshe ili nihakikishe. Maajabu ya mussa! niliishiwa hamu ikabidi nikimbie. Wakati huo hela yangu ameshakula.
ReplyDeleteMimi naishangaa serikali yetu. Dawa kama hizo zilikuwa za kupiga marufuku hata kama ni soko huria. Hawa watu ni kweli kwao hawataki makalio lakini wanawauzia dada zetu amabo kiasili wamejaliwa hayo mambo. Na kama wadau wengine walivyosema si kila mwanamume anahitaji makalio makubwa. Busara zako na hekima yako kwenye maisha yako ya kawaida ni muhimu kuliko makalio makubwa na unapata mchumba wa maana kuliko hao wanaofikiri uzuri na makalio.
ReplyDeleteNi sawa na wanaojichubua, si kila mwanamume anahitaji wasichana weupe. wewe kama sio mweupe utapata wanaohitaji weusi na kama wewe ni mweupe utapata wanaohitaji weupe. Labda kama wewe ni mfanya biashara unatega kotekote.
WE MDADAA WA UGHAIBUNI UNAYETAFUTA DAWA YA KUONGEZA MAKALIO...TEMBELEA ; http://www.neemaherbalist.blogspot.com// hawa wanayo dawa ya asili inayotokana na mitishamba ambayo haina madhara inaongeza makalio na hips.
ReplyDelete