Miss Tabora 2011/12 Florah Michael baada ya kuvishwa taji
![]() |
Katikati ni Miss Tabora 2011/12 Florah Michael akiwa na mshindi wa pili Maua Kimambo na mshindi wa tatu Dalilah Gharib baada ya shindano hilo la kukata na shoka. |
Florah Michael ni mwanafunzi wa SAUT tawi la Tabora mwaka wa kwanza, wakati Maua Kimambo ni mwanafunzi wa Musoma utalli college Tabora mwaka wa kwanza na Dalilah Gharib ni mwanafunzi UHAZILI Tabora mwaka wa pili.
Zawadi kwa mshindi wa kwanza ilikuwa Dell Laptop ya sh kaki 7 na elimu yenye thamani ya laki tatu Musoma Utalii college. jumla shilingi milioni moja. Zawadi kwa mshindi wa pili Dell computer ya sh laki sita na elimu ya laki mbili Musoma utalii college Tabora na zawadi kwa mshindi wa tatu Subwoofer na dvd player vya laki 250. Na elimu ya sh laki moja Musoma utalii college.
Washindi watatu hao watuwakilisha mkoa wa Tabora katika shindano la kanda mnamo tarehe 24/06/2011 mjini Dodoma ambalo litajumuisha mikoa ya Dodoma, Kigoma, Singida na Tabora, washindi watatu wa kanda ndio wataenda Miss Tanzania.
Miss Tabora ilifanyika New Royal garden na burudani iliporomoshwa na Amin, steve rnb, Hmbizo, Nash D, na Bekah.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...